Idadi ya meli zinazohudumiwa katika Bandari ya Kigoma zimeongezeka katika kipindi cha miaka mitano kutoka meli 296 mwaka 2013/14 hadi meli 434 mwaka 2017/18.Hali Kadhalika shehena inayohudumiwa katika bandari ya kigoma imeongeza kutoka tani 88,390 mwaka 2013/14 hadi tani 196,844 mwaka 2017/18Idadi ya meli zinazohudumiwa katika Bandari ya Kigoma zimeongezeka katika kipindi cha miaka mitano kutoka meli 296 mwaka 2013/14 hadi meli 434 mwaka 2017/18. Hali Kadhalika shehena inayohudumiwa katika bandari ya kigoma imeongeza kutoka tani 88,390 mwaka 2013/14 hadi tani 196,844 mwaka 2017/18