Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (katikati) akiwa ameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya zaidi na Shilingi 6.7 bilioni ikiwa ni Gawio la Serikali Kuu kutoka Benki ya CRDB. Benki ya CRDB leo imetoa Gawio la TZS 9.9 kwa Serikali Kuu, Halmashauri, Taasisi na Mashirika ya umma. Wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Denmark nchini, Einar Jensen, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu.
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA TZS 9.9 BILIONI KWA SERIKALI
Matokeo ChanyA+
June 16, 2019
Taarifa Vyombo vya Habari , Taarifa ya Habari , Tanzania MpyA+
803 Imeonekana
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (katikati) akiwa ameshikilia mfano wa hundi yenye thamani ya zaidi na Shilingi 6.7 bilioni ikiwa ni Gawio la Serikali Kuu kutoka Benki ya CRDB. Benki ya CRDB leo imetoa Gawio la TZS 9.9 kwa Serikali Kuu, Halmashauri, Taasisi na Mashirika ya umma. Wengine pichani kutoka kushoto ni Balozi wa Denmark nchini, Einar Jensen, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Khatibu Kazungu.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akiwakabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya zaidi na Shilingi 2.5 bilioni kwa wawakilishi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSF, NSSF, GEPF na ZSSF), ilililotolewa na Benki ya CRDB.
Muwakilishi wa TAMISEMI (Halmashauri za Mbinga, Lindi, Shinyanga).
Muwakilizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimkabidhi mfano wa hundi muwakilishi wa Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Tabora.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati akitoa hotuba yake katika hafla fupi ya kupokea Gawio la TZS 9.9 bilioni kwa Serikali Kuu, Halmashauri, Taasisi na Mashirika ya umma, lililotolewa na Benki ya CRDB, leo juni 15, 2019 katika ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Ally Laay (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza katika hafla hiyo.
Ad
Unaweza kuangalia pia
Wakazi na wafanyabiashara waishio pembezoni mwa fukwe za Bahari ya Hindi katika kata za Somangila, …