- Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe jana Tarehe 17 Juni 2019 akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu amepata fursa ya kumtembelea muwekezaji mzawa wa kusindika Nafaka Bw Deogratius Kumalija katika Wilaya ya Busega.
- Akiwa kiwandani hapo Mhandisi Mtigumwe alipata maelezo kutoka kwa mmiliki huyo kuwa ameamua kujikita katika usindikaji wa mazao ya Nafaka kutokana na fursa iliyopo katika kuongeza thamani ya mazao hayo hususani mahindi na Mpunga.
- Bw Kumalija aliendelea kusema kuwa kiwanda hicho cha Mpunga kina uwezo wa kukoboa Tani 28 kwa siku na alisema kiwanda hicho kina uwezo wa kupanga madaraja ambapo kiwanda cha kusaga Mahindi kipo katika ujenzi na punde kitakapokamilika kitakuwa na uwezo wa kusaga tani zaidi ya 30 za mahindi kwa siku.
- Alisema kuwa Viwanda Hivyo vitasaidia kuongeza thamani ya mazao hayo na kuondokana na nchi kuendelea kuuza mazao ghafi.
- Kadhalika, Mhandisi Mtigumwe alimpongeza muwekezaji huyo kuwa aendelee na uwekezaji huo pia Serikali imekuwa ikisisitiza kuyaongezea thamani mazao ya Kilimo.
- Hivyo mwekezaji kama Bw Kumalija anatimiza azma ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozw ana mHe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ya kuwa na uchumi wa kati kupitia Sera ya Viwanda.
- Hata hivyo kwa kuwa na Viwanda kama hivyo vitaongeza ajira na kuhamasisha wakulima kulima wakiwa na uhakika wa mazao yao na kuyaongezea thamani.Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo
Ad
провести сео аудит сайта http://www.prodvizhenie-sajtov15.ru .
матрас интернет магазин https://kupit-matras111.ru/ .
порно видео русское анал http://russkiy-anal-x.ru/ .
You really make it appear so easy with your presentation but I to find this topic to be really something
which I think I would never understand. It kind
of feels too complicated and extremely broad for me. I am taking a look
forward for your next post, I’ll attempt to get the grasp of
it! Najlepsze escape roomy
You have mentioned very interesting points! ps decent site.?
This site definitely has all the information I wanted about this subject and didn’t know who to ask.
I really like looking through a post that will make men and women think. Also, many thanks for permitting me to comment.