Maktaba ya Kila Siku: June 20, 2019

WIZARA YA MAMBO YA NJE WAMWITA KAIMU BALOZI WA MAREKANI WIZARANI

June 19,2019 Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam. Wizara ya …

Soma zaidi »

SERIKALI KUAJIRI WAKAGUZI WA NDANI 100

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (Mb) amesema TAMISEMI imewasilisha maombi ya kupata kibali cha ajira ya Wakaguzi wa Ndani 100 ili kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa Kada hii katika Sekretariet za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mhe. Kandege ameyasema hayo wakati akifungua …

Soma zaidi »

SERIKALI YAJIPANGA KUTEKA SOKO LA WATALII CHINA

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya Utalii,  suala la  kujifunza lugha ya kichina kwa baadhi ya watumishi na wadau wa utalii ili kuteka soko hilo ni jambo …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI KUTOKUKATIKA KWA UMEME

  Wizara ya Nishati imewataka wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye sekta ya viwanda ili kuongeza tija ya uzalishaji wa bidhaa kwa kuwa sasa Serikali imewekeza kwenye miundombinu ya uzalishaji wa  umeme na kwamba hautakatika tena. Waziri wa Nishati Medard Kalemani aliyasema hayo Jijini Dar Es Salaam wakati akizungumza na Wawekezaji wenye …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WAFANYABIASHARA KUHUSU UBORA WA KOROSHO

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa yupo ziarani katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, Pwani na Dar es salaam ili kujionea mwenendo wa hali ya ubora wa zao la korosho kwenye maghala. Mhe Bashungwa amesema kuwa kumekuwa na dhana potofu kwa wananchi katika maeneo mengi kuhusu ubora wa …

Soma zaidi »