Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeamua kufanya upya uhakiki wa kina utaratibu wa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa vijana wanaojiunga kwa kujitolea baada ya kubaini baadhi yao kufanya udanganyifu wakati wa usaili unaoendelea sasa. Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano wa Jeshi Luteni Kanali Gaudence …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 28, 2019
LIVE: WAZIRI MKUU AKITOA HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE LA BAJETI
MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA HAMSINI NA TANO 28 JUNE, 2019
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WABUNGE WA SADC NA SPIKA JOB NDUGAI
MRADI WA MFUMO WA KUTIBU MAJI UMEFIKIA ASILIMIA 80 MKOANI GEITA
PROF. KABUDI ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUVUTIA UWEKEZAJI NCHINI CHINA
Kupitia ushirikiano huo, kampuni ya SUPER AGRI TECHNOLOGY itawekeza Dola za Kimarekani Bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano. Katika hafla hiyo kampuni ya TANZANIA AGRICULTURE EXPORT PROCESS ZONE iliwakilishwa na Afisa wa Taasisi ya Sekta Binafsi TPSF Bi Lilian Ndosi
Soma zaidi »