PROF. KABUDI ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KUVUTIA UWEKEZAJI NCHINI CHINA

CH
Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi ashiriki katika mkutano maalum wa kuvutia uwekezaji ikiwa ni sehemu ua shughuli za China-Africa Economic and Trade Expo zinazoendelea jijini Changsha. Katika hafla hiyo Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Col Simbakalia ametoa mada kuhusu fursa za uwekezaji
CH
Mkutano maalum wa kuvutia uwekezaji  China-Africa Economic and Trade Expo
CH
Mkutano maalum wa kuvutia uwekezaji China-Africa Economic and Trade Expo
CH
Kampuni ya SUPER AGRI TECHNOLOGY ya China imesaini makubaliano na kampuni ya TANZANIA AGRICULTURE EXPORT PROCESS ZONE kuwekeza katika sekta ya kilimo na usindikaji. Makubaliano hayo yamesainiwa katika mkutano wa China-Africa Economic& Trade Expo katika mji wa Changsha.
  • Kupitia ushirikiano huo, kampuni ya SUPER AGRI TECHNOLOGY itawekeza Dola za Kimarekani Bilioni 1 katika kipindi cha miaka mitano. Katika hafla hiyo kampuni ya TANZANIA AGRICULTURE EXPORT PROCESS ZONE iliwakilishwa na Afisa wa Taasisi ya Sekta Binafsi TPSF Bi Lilian Ndosi
CH
Kampuni ya SUPER AGRI TECHNOLOGY ya China imesaini makubaliano na kampuni ya TANZANIA AGRICULTURE EXPORT PROCESS ZONE kuwekeza katika sekta ya kilimo na usindikaji. Makubaliano hayo yamesainiwa katika mkutano wa China-Africa Economic& Trade Expo katika mji wa Changsha.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *