Maktaba ya Mwezi: July 2019
MRADI WA MAJI WA CHALINZE KUKAMILIKA APRILI 2020
MKATABA UJENZI DARAJA LA KIGONGO BUSISI WASAINIWA
Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2, ambao utagharimu jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 592. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja …
Soma zaidi »BALOZI KIJAZI ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MKUTANO WA SADC
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema maandalizi ya Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali wa nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufanyika hapa nchini mwezi ujao yanaridhisha. Ameyasema hayo wakati akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi hayo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano …
Soma zaidi »NI MARUFUKU WANANCHI KULIPIA NGUZO – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amesema wananchi hawapaswi kulipia nguzo wanapotaka kuunganishiwa umeme kwani hilo ni jukumu la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza kwa nyakati tofauti, jana Julai 28, 2019 akiwa ziarani katika Wilaya za Babati na Mbulu mkoani Manyara, Waziri alitoa onyo kwa mtumishi yeyote wa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SHIMUTA NA MASHIRIKA YA UMMA
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Julai, 2019 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme katika mto Rufiji Mkoani Pwani ambao utakamilika Juni 2022 na kuzalisha megawati 2,115. Sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la mradi …
Soma zaidi »WAFANYABIARA WA ASALI CHALINZE WAPATA SOKO
UJENZI WA BARABARA YA MPANDA-IFUKUTWA-VIKONGE KWA KIWANGO CHA LAMI
LIVE: UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BWAWA LA KUFUA UMEME LA MTO RUFUJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitekeleza majukumu ya kiserikali na kuzungumza na Wananchi wa maeneo mbalimbali kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji
Soma zaidi »