Maktaba ya Kila Siku: July 2, 2019

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA

Uongozi wa Ofisi ya Rais na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kushirikiana na Chuo cha Utawala wa Umma (IPA) umetakiwa kuandaa programu maalum ya mafunzo ya muda mfupi kwa ajili ya Viongozi, Watendaji Wakuu na Watumishi wengine wa Serikali. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi …

Soma zaidi »

WACHIMABJI WADOGO WA DHAHABU KUPUNGUZA UTUMIAJI WA ZEBAKI KWA 30% IFIKAPO 2024

Tanzania yadhamiria kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwa asilimia 30% ifikapo 2024. Katika kikao cha kupitisha Mpango Kazi wa Taifa wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo kilichoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais na kushirikisha sekta husika, leo katika Chuo cha Biashara …

Soma zaidi »

MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MFUTO KATIKA MTO NGUYAMI ATAKIWA KUONGEZA KASI YA UJENZI

Akizungumza na wananchi wa vijiji hivyo mara baada ya kukagua barabara ya Iyogwe-Chakwale-Ngilori yenye urefu wa KM 42, wilayani Gairo, Naibu Waziri amesema Serikali imejipanga kuhakikisha madaraja 3 katika barabara hiyo yanakamilika na hivyo kuwezesha shughuli za kiuchumi na uzalishaji kwa wakazi wa eneo hilo.

Soma zaidi »