Maktaba ya Kila Siku: July 3, 2019

MKUCHIKA: TANZANIA INAZIDI KUPATA HESHIMA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora), George Mkuchika amesema Tanzania inaendelea kupata heshima kubwa katika Jumuiya ya Kimataifa katika vita vya mapambano dhidi ya rushwa kutokana na mshikamano na nguvu ya pamoja iliyopo katika vyombo na taasisi zinazosimamia utawala bora nchini. Akizungumza …

Soma zaidi »

BILIONI 114.1 KUWAPA NEEMA YA MAJI SAFI NA SALAMA WAKAZI WA DAR NA PWANI

Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) wametia saini mikataba wa miradi mikubwa sita ya usambazaji maji kwa mkoa wa Dar es Salaam na Pwani wenye thamani ya Bilion 114.5. Utiaji huo wa saini umefanyika leo Julai 2, 2019 katika ofisi za Mamlaka hiyo huku ukishuhudiwa na Waziri …

Soma zaidi »

JUMUIA YA WATOA HUDUMA YA MAFUTA NA GESI NCHINI, WAKUTANA NA WAFANYABISHARA WA GESI NA MAFUTA NCHINI BRAZIL

Ujumbe wa wafanya biashara pamoja na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mashirika ya serikali kutoka Tanzania ikiongozwa na mkuu wa msafara Balozi Abdulsamad Abdulrahim ambae pia ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Mafuta na Gesi nchini, na Makamu wa Rais na watendaji wakuu wa kampuni ya mafuta na gesi ya …

Soma zaidi »