Maktaba ya Kila Siku: July 4, 2019

WAZIRI BITEKO – UWE MWEKEZAJI WA NJE AU MZAWA HAKI YAKO UTAIPATA

Uwe mzawa, uwe mwekezaji wa nje kwangu haki yako utaipata. Ni kauli ya Waziri wa Madini Doto Biteko wakati akisuluhisha mgogoro baina ya wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu eneo la Ikungi mkoani Singida na mwekezaji wa kampuni ya PolyGold (T) Ltd. Ametoa kauli hiyo Julai 2, 2019 ofisini kwake …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA VIETNAM

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Vietnam nchini, Mhe. Nguyen Doanh ambapo amewakaribisha wafanyabiashara kutoka Vietnam waje nchini kuwekeze katika sekta mbalimbali ikiwemo ya viwanda. Amesema Rais Dkt. John Magufuli ameanzisha Wizara ya Uwekezaji iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa ajili ya kuifanya Tanzania …

Soma zaidi »

MAWAZIRI BARA, ZANZIBAR WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe pamoja na Waziri wa Habari, Utalii na Mambo Kale Zanzibar  Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Ally Abeid Karume wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika kusimamia na kutekeleza sekta za Habari, Utamaduni,Sanaa na michezo …

Soma zaidi »