WAZIRI WA VIWANDA AFANYA ZIARA MKOANI KILIMANJARO Matokeo ChanyA+ July 5, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,299 Imeonekana Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa akiwa mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kikazi ambapo amewagiza CAMARTEC, TEMDO, SIDO, TIRDO na NDC kwenda kwenye uhalisia wa kuzalisha zana ndogo wanazotumia wakulima katika shughuli zao za kilimo cha mashamba madogo madogo. Waziri wa Viwanda Innocent Bashungwa akiwa mkoani Kilimanjaro kwenye ziara ya kikazi ambapo amewagiza CAMARTEC, TEMDO, SIDO, TIRDO na NDC kwenda kwenye uhalisia wa kuzalisha zana ndogo wanazotumia wakulima katika shughuli zao za kilimo cha mashamba madogo madogo. Ziara ya Waziri wa Viwanda Waziri wa Viwanda, Innocent Bashungwa amezindua tela la kubebea mizigo lenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani moja hadi 2 kwa ajili ya matrekta yanayouzwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kupitia mradi wake wa matrekta ya Ursus uliopo KMTC Kilimanjaro Tela la kubebea mizigo lenye uwezo wa kubeba mzigo wa tani moja hadi 2 kwa ajili ya matrekta yanayouzwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kupitia mradi wake wa matrekta ya Ursus uliopo KMTC Kilimanjaro Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest