TANZANIA NA BRAZIL ZINA MAENEO MENGI YA KUIMARISHA UHUSIANO NA KUENDELEZA MASLAHI YA PAMOJA

  • Ziara hiyo  ya siku kumi imebuniwa na sekta binafsi  kwa mashirikiano na ubalozi wa Brazil nchini Tanzania na kuratibiwa kwa pamoja na Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Brasilia, imejumuisha washiriki kumi na mbili ( 12) kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, ofisi ya ubalozi wa heshima wa Brazil nchiniTanzania, jumuiya ya wafanya biashara Tanzania; kampuni ya Zest limited na Kampuni ya Alpha Group Afrika.
  • Washiriki wengine katika ziara hiyo ni kampuni ya  KC Land Development Plan, Kampuni ya Pivotec Company Ltd pamoja na Shirika la biashara la Taifa la Zanzibar(ZSTC), Mamlaka ya Uthibiti wa Matumizi wa Maji na Nishati Zanzibar(ZURA) na LAM Consultant.
  • Katika Ziara hiyo ujumbe wa Tanzania umeonana na kufanya mazungumzo na Taasisi mbali mbali za Brazil zikiwemo  shirika kuu la uchimbaji mafuta  na gesi la Brazil (Petrobras), kampuni ya shughuli za idhibiti wa viwango na uendelezaji  wa masoko ya mafuta na gesi (IBP), Wakala wa uwekezaji na Biashara  ya Brazil (APEX), Muungano wa Jumuiya ya Wenye viwanda ya Brazil(NCI) na Taasisi ya Uendelezaji wa Wazalishaji wadogo na Wakati (SEBRAE).
  • Taasisi nyingine ambazo ujumbe huu ulikutana na viongozi na kuwa na mazungumzo ya ushirikiano ni Bodi ya Utalii ya Brazil(Embratur), Wizara ya Kilimo, Sehemu ya udhibiti wa biashara za Mazao ya matunda na mifungo, Muungano wa Wenye viwanda wa São Paulo na Taasisi ya uendelezaji wa Teknolojia na ubunifu (São Paulo Technlogy Incubator) ya mjini São Paulo.
  • Hali kadhalika, ujumbe wa Tanzania ulipata nafasi ya kutembelea Miji mbali mbali ya Brazil ikiwemo Rio de Janeiro , Brasilia, na São Paulo pamoja na kufanya mazungumzo  na Kaimu Balozi na Maofisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Brasilia na kukutana na Jumuiya ya Watanzania (Diaspora)  waishio mjini São Paulo.
  • Katika mazungumzo na shirika la uchimbaji wa mafuta na gesi la Petrobras na Kampuni ya uendelezaji wa masoko na Udhibiti wa mafuta na gesi (IBP) ilibainika kwamba pamoja na kampuni ya Petobras kusitisha shughuli zake za utafutaji wa mafuta nchini Tanzania, nchi hizi mbili zinaweza kuendeleza kushirikiana katika maeneo mbalimbali yakiwepo kujenga Uwezo, kuendeleza utafiti, kukuza masoko na shughuli za udhibiti wa bidhaa na viwango katika sekta ya mafuta na gesi, pamoja na kubadilishana uzoefu na wataalamu.
  • Ili kuhakikisha utekelezaji wa maazimio yaliyokubaliwa pande mbili ( IBP na Jumuiya ya Watoa Huduma ya Mafuta na Gesi Tanzania-ATOGS ) zimekubaliana kuandaa mkataba wa ushirikiano na kusainiwa mara baada ya kukamilisha taratibu zinazohitajika.
  • Kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji imeonekana kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa bidhaa za Tanzania kama vile korosho, karafuu na mazao ya bahari kupata soko nchini Brazil. Pia wajumbe wamebaini kuwa kuna uwezekano mkubwa kwa Tanzania kununua sukari kutoka Brazil. Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Brasilia umeahidi kufuatilia upatikanaji wa masoko hayo. Brazil ni mzalishaji mkubwa wa sukari na mazao ya mifugo.
  • Katika mazungumzo yaliyohusu ushirikiano wa uwekezaji kati ya nchi mbili yaliyofanyika katika Makao makuu ya wakala wa uwekezaji wa Brazil (APEX) mjini Brasília ilibainika kuwa Tanzania ina nafasi kubwa ya kujifunza katika taratibu za kuvutia wawekezaji kutoka nje na kuendeleza wawekezaji wa ndani. Pia pande mbili zilikubaliana kushirikiana katika kuendeleza fursa za uwekezaji na kubadilishana Taarifa.
  • Vile vile wajumbe walikubaliana kuhusu umuhimu wa kuwa na taarifa za kutosha kuhusu fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania, hivyo wito ulitolewa kwa ofisi za Ubalozi wa Tanzania Brasilia, Ubalozi wa Brazil nchini Tanzania, wakala wa uwekezaji wa Brazil , mamlaka za uwekezaji Tanzania na jumuiya ya wafanya biashara na sekta binafsi Tanzania kuimarisha ushirikiano wa karibu sana kwa lengo la kuimarisha uwekezaji na kukuza biasharakwa maslahi ya maendeleo ya uchumi wa nchini hizi mbili.
  • Kutokana na ziara hii, ujumbe wa Tanzania pia ulipata nafasi ya kuzungumza na viongozi wa Taasisi inayohusika na kuendeleza wazalishaji wadogo wadogo na wa kati (SEBRAE) nchini Brazil. Mazungumzo hayo yalifanyika katika makao makuu ya ofisi hiyo yaliyopo mjini Brasilia. Baada ya mazungumzo hayo pande mbili zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kubadilishana wataalam, uzoefu, na kujenga uwezo hasa kutokana na nchi ya Brasil kupiga hatua kubwa na kufanikiwa kuleta maendeleo katika kuimarisha uwezo wa wazalishaji wadogo wadogo na wa kati hasa wanawake. Pia ujumbe wa Tanzania ulitoa mwaliko kwa Viongozi wa taasisi hiyo na baadhi ya wazalishaji wa Brazil kutembelea Tanzania mwezi wa Oktoba wakati wa Tanzania Expo.
  • Kuhusu mazungumzo yaliyofanyika kati ya ujumbe wa Tanzania na Jumuiya ya Muungano wa viwanda wa Brazil, pande mbili zimekubaliana kwamba nchi hizi mbili zinashabihiana kimazingira, kijiografia, mila na utamaduni. Hivyo kuna haja kubwa wa kuimarisha mahusiano, kubadilishana wataalam, habari, na kukuza technologia ya uzalishaji katika viwanda.
  • Brazil imeonesha nia ya kusaidia Tanzania katika kujenga uwezo wa wataaman wake kwa kutumia taasisi zake za mafunzo ya Technologia na kuendelea uzalishaji katika sekta ya viwanda. Kwahivyo imeonekana kwamba kuna haja ya kuweka saini makubaliano ya ushirikiano wan chi hivi mbili kati ya Jumuiya ya Muungano wa Viwanda wa Brazil na Jumuiya ya sekta binafsi pamoja na Jumuiya ya wafanyabiashara, wenye viwanda na wakulima wa Tanzania. Hatua hiyo itafikiwa baada ya kukamilisha taratibu za mikataba ya kimataifa
  • Kwa upande wa utalii imebainika kwamba licha ya kuwa Brazil na Tanzania kuwa zina mazingira na vivutio vinavyolingana vya utalii, Brazil inapokea zaidi ya mara tatu ya idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania. Hivyo Tanzania ina mengi ya kujifunza kutoka kwa ndugu zao wa Brazil. Wito umetolewa kwa pande mbili kushirikiana kwa kubadilishana uzoefu, taarifa na utalamu pamoja na kutembelea na.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

98 Maoni

  1. Manchester City and Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-fr.com explosive synergy in action. How a club and a footballer light up stadiums with their dynamic play.

  2. Discover how Riyad Mahrez https://al-ahli.riyad-mahrez.com transformed Al-Ahli, becoming a key player and catalyst in reaching new heights in world football.

  3. Get to know the history, players and latest news of the Inter Miami football club https://inter-miami.uz. Join us to learn about the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  4. 1win yukle https://1win.tr-kazakhstan.kz/ как играть на бонусы казино в 1win http://www.1win.tr-kazakhstan.kz

  5. Pedri’s story https://barcelona.pedri-fr.com from his youth in the Canary Islands to becoming a world-class star in Barcelona, ??with international success and recognition.

  6. Discover the journey of Charles Leclerc https://ferrari.charles-leclerc-fr.com, from young Monegasque driver to Ferrari Formula 1 leader, from his early years to his main achievements within the team.

  7. Discover the story of Rudy Gobert https://minnesota-timberwolves.rudy-gobert.biz, the French basketball player whose defensive play and leadership transformed the Minnesota Timberwolves into a powerhouse NBA team.

  8. The history of Michael Jordan’s Chicago Bulls https://chicago-bulls.michael-jordan-fr.com extends from his rookie in 1984 to a six-time NBA championship.

  9. Victor Wembanyama’s travel postcard https://san-antonio-spurs.victor-wembanyama.biz from his career in France to his impact in the NBA with the San Antonio Spurs.

  10. The fascinating story of Alexander Zverev’s https://tennis.alexander-zverev-fr.biz rapid rise from a junior star to one of the leaders of modern tennis.

  11. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  12. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  13. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  14. Une ascension fulgurante au pouvoir Donald Trump https://usa.donald-trump-fr.com et son empire commercial

  15. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  16. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  17. Explore the rich history and unrivaled atmosphere of the iconic Old Trafford Stadium https://old-trafford.manchester-united-fr.com, home of one of the world’s most decorated football clubs, Manchester United.

  18. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  19. An exploration of the history of Turin’s https://turin.juventus-fr.org iconic football club – Juventus – its rivalries, success and influence on Italian football.

  20. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  21. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  22. The story of Kanye West https://the-college-dropout.kanye-west-fr.com, starting with his debut album “The College Dropout,” which changed hip-hop and became his cultural legacy.

  23. Explore the career and significance of Monica Bellucci https://malena.monica-bellucci-fr.com in Malena (2000), which explores complex themes of beauty and human strength in wartime.

  24. Преимущества аренды склада https://popivy.ru/otvetstvennoe-hranenie-mebeli-santehniki-i-bytovoj-tehniki-na-sklade-v-moskve-preimushhestva-i-vygody/, как аренда складских помещений может улучшить ваш бизнес

  25. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  26. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  27. регистрация рио бет казино вход Rio Bet Casino

  28. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  29. Пансионаты для пожилых людей https://moyomesto.ru в Самаре по доступным ценам. Специальные условия по уходу, индивидуальные программы.

  30. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  31. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  32. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  33. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  34. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  35. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  36. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  37. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  38. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  39. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/about-company в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  40. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  41. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  42. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  43. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  44. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  45. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  46. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *