Naibu Waziri Juma Aweso akikagua miradi ya maji ya Manispaa ya Kigoma na Nguruka yatoa huduma kwa wananchi mkoani Kigoma.Naibu wa Waziri Juma Aweso akizungumza kwenye eneo la mradi wa maji ya Manispaa ya Kigoma na Nguruka yatoa huduma kwa wananchi mkoani Kigoma.Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa (Mb) akamilisha ziara yake Mkoani Shinyanga. amekagua na kutoa maelekezo katika miradi ya Segese na mradi wa pamoja kati ya Wizara ya maji, Acacia na Halmashauri za Msalala, Nyang’hwale na Shinyanga VijijiniWaziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa (Mb) akamilisha ziara yake Mkoani Shinyanga, amezungumza na wananchi, kukagua na kutoa maelekezo katika miradi ya Segese na mradi wa pamoja kati ya Wizara ya maji, Acacia na Halmashauri za Msalala, Nyang’hwale na Shinyanga VijijiniWaziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa (Mb) akamilisha ziara yake Mkoani Shinyanga. amekagua na kutoa maelekezo katika miradi ya Segese na mradi wa pamoja kati ya Wizara ya maji, Acacia na Halmashauri za Msalala, Nyang’hwale na Shinyanga Vijijini