Maktaba ya Kila Siku: July 15, 2019

SERIKALI KUOKOA TAKRIBANI BILIONI 25 KWA MWAKA ZA KUZALISHA UMEME KIGOMA.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali inatarajia kuokoa takribani shilingi bilioni 25 zinazotumika kununua mafuta mazito ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme katika Mkoa wa Kigoma kwa mwaka. Akizungumza baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha umeme mkoani Kigoma , Julai 12, Mgalu alisema serikali itaokoa fedha hizo, baada …

Soma zaidi »

RC HOMERA AZINDUA MRADI WA MAJI CHAMALENDI, KATAVI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera tarehe 11.07.2019 amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Chamalendi kata ya Chamalendi Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe wilayani Mlele. Mradi huo wenye thamani ya Tsh 402,600,000/=  umeshuhudiwa na wananchi wa eneo hilo ambapo mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 10,000 Katika …

Soma zaidi »