MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSHOTO MKOANI TANGA

TA 2-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga alipowasili Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu Maalum (International Association of Special Education (IASE)utakaofanyika kesho katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Koloa (SEKOMU) kilichopo katika kijiji cha Magamba.
TA 1-01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu Maalum (International Association of Special Education (IASE)utakaofanyika kesho katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Koloa (SEKOMU) kilichopo katika kijiji cha Magamba.
TA 3-01

Ad

Unaweza kuangalia pia

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.