Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi wakati akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 17, 2019
WAKANDARASI MSIKUMBATIE KAZI – NAIBU WAZIRI SUBIRA MGALU
Naibu wa Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi ambao wanadhani hawatakamilisha ama kuchelewesha kazi ya usambazaji wa umeme vijijini kutokana na changamoto mbalimbali , ni vyema kazi hizo wakapatia wakandarasi wenye uwezo ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati. Akizungumzia kazi ya kusambaza umeme vijijini katika maeneo aliyotembelea mkoani Tabora, …
Soma zaidi »CHINA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR KATIKA SEKTA YA AFYA
Balozi mdogo wa Jamhuri ya watu wa China Xie Xiuowu amesema nchi yake itaendeleza azma yake ya kuisaidia Zanzibar katika nyanja tofauti ikiwemosekta ya afya ikiwa ni juhudi zake za kukuza uhusiano miongoni mwa nchi hizo mbili. Alisema misaada wanayoitoa inaongozwa na dhamira njema hasa kwa watu wenye mahitaji ili …
Soma zaidi »ZAIDI YA MILIONII 125 ZILIZOKUSANYWA NA WAFUGAJI, TAASISI ZA UMMA NA BINAFSI, KUSAIDIA KAYA MASIKINI NGORONGORO
Zaidi ya kiasi cha shilingi milioni 125 zimekusanywa na Wafugaji katika tarafa ya Ngorongoro wakishirikiana na Viongozi wa kisiasa na Taasisi za umma na binafsi ambazo zitatumika kuimarisha vikundi vya kuweka akiba na kukopa (Vikoba ) ili kusaidia kaya masikini kujikwamua kiuchumi. Edward Maura ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA BILION 5.7 UJENZI WA MAABARA NA JENGO LA UPASUAJI – SIMIYU
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto yatoa kiasi cha shilingi Bilion 5.7 kwaajili ya ujenzi wa jengo la maabara na jengo la upasuaji ikiwa ni awamu ya pili, baada yakuzinduliwa kwa awamu ya kwanza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John …
Soma zaidi »VIONGOZI WA MAKAMPUNI MAKUBWA 20 KUTOKA CHINA KUFANYA ZIARA NCHINI
Viongozi wa Makampuni makubwa (20) kutoka Jimbo la Zhejiang Nchini China watafanya ziara nchini tarehe 20-23 Julai 2019 kutafuta fursa za kuwekeza nchini katika sekta za mawasiliano, utalii, uzalishaji, madini, filamu. Ujumbe huo utakutana na wafanyabiashara wa Tanzania kupitia taasisi ya TPSF Katika ziara ya ujumbe wa Makampuni 20 kutoka …
Soma zaidi »