Maktaba ya Kila Siku: July 19, 2019

SADC YAELEZA SABABU ZA TANZANIA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA MKUTANO WA JUMUIYA HIYO MWEZI AUGUST,2019

Tanzania imepewa fursa ya kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC) kutokana na kutimiza vigezo vinavyohitajika na jumuiya hiyo ikiwemo uwepo wa demokrasia na utawala bora mbali na vigezo vingine kama vile mchango wa Tanzania katika ukombozi wa bara la Afrika pamoja na uwepo …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIZINGA WILAYANI MULEBA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewasha rasmi umeme katika kijiji cha Kizinga, Kata ya Bulyakashaju wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera Julai 17, 2019 na kuibua shangwe kwa wananchi wa eneo hilo. Tukio hilo lilifanyika katika nyumba ya mmoja wa wakazi wa kijiji hicho, Venancia Joanes ambaye alikiri mbele ya …

Soma zaidi »