Maktaba ya Kila Siku: July 20, 2019

MAMENEJA WA TANESCO WATAKIWA KUUNGANISHA WATEJA KWA SHILINGI 27,000/= VIJIJINI.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema mameneja wa Shirika la Umeme nchini, (Tanesco) waongeze idadi ya wateja kwa kuwaunganishia huduma ya umeme wananchi waliopo vijijini kwa bei ya shilingi 27,000. Hatua hiyo ni kigezo cha kupima utendaji kazi wa mameneja hayo katika Kanda,Mikoa pamoja na Wilaya mbalimbali nchini. Mgalu …

Soma zaidi »