Maktaba ya Kila Siku: July 24, 2019

RAIS MAGUFULI APOKEA DHAHABU YA TANZANIA ILIYOKAMTWA NCHINI KENYA MWAKA 2018

Rais Dkt. John Magufuli aipongeza Serikali ya Kenya kwa maamuzi yake ya kuirejeshea dhahabu zenye uzito wa kilo 35.34 zilizotoroshwa nchini Tanzania na Wafanyabiashara wasio waamini kwa njia ya magendo mwaka 2018. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi dhahabu pamoja na fedha taslimu akiwa pamoja na ujumbe wa Mawaziri na Watendaji …

Soma zaidi »

BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA – RUVU

Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo , Malawi , Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi …

Soma zaidi »