UJENZI WA BARABARA YA MPANDA-IFUKUTWA-VIKONGE KWA KIWANGO CHA LAMI Matokeo ChanyA+ July 26, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,258 Imeonekana Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa %100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani. Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa % 100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani. Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa % 100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest