DOMINGOS:TUTAENDELEA KUBORESHA, KUIMARISHA NA KUHAMASISHA BIASHARA ZA MAZAO YA KILIMO SADC.

  • Sekratarieti ya Chakula, Kilimo na Malisili kutoka Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini Mwa Afrika (SADC) imesema kuwa itaendelea kufanya kazi karibu na wananchi walioko kwenye ukanda wa Jumuiya hiyo  ili kuimarisha utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya  2015-2020 SADC hasa kwenye Sekta ya  Biashara kwa mazo mbalimbali ya Kilimo na  Mifugo.
  • Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Chakula, Kilimo na Maliasili, Domingos Dove alisema kuwa ni vyema kuhusisha vyombo vya habari kwenye sekta hiyo ili kutoa habari zilizohakikiwa, kuona changamoto wanazokumbana nazo, mafanikio  ili kili mmoja ajue sekritarieti inakoenda katika kuimarisha biashara na soko la SADC kwenye mazao ya Kilimo na Mifugo.
  • Alisema kuwa Sekritarieti ina dhamira kubwa ya kutoa wataalamu kwenye kutekeleza sera za Maendeleo za ukanda huo wa Afrika, ili kuhakikisha kunakuwepo na Maendeleo endeelevu kwa nchi wananchama wa Jumuiya hiyo.
  • “Kama Sekritarieti ya SADC tunafanya kazi kubwa kimkakati kwenye nchi wanachama na tunamatarajio makubwa ya kuona na kugusa sehemu zote kuanzia ngazi ya Taifa mpaka ngazi ya kanda na kazi hii inahakikisha kwamba sera zote kwenye nchi 16 za Jumuiya hii zinaunganishwa kisera ili kuwezesha kufanya kazi pamoja, hii ndiyo kazi yetu”, Domingos Gove, SADC.
SD 3-01
Mkurugenzi wa Chakula, Kilimo na Maliasili kutoka Sekritarieti ya SADC, Damingos Dove akifafanua Jambo kwa Waandishi wa Habari (Hawapo pichani) Kuhusu malengo ya Sekritarieti hiyo katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam.
  • Domingos alisema kuwa malengo ya Sekritarieti hiyo kwa nchi wanachama ni kutangaza, kuunganisha na kuwezesha uunganishwaji wa Sera  na miradi mbalimbali ya Maendeleo miongozi mwa nchi 16 wanachama wa SADC.
  • Domingos alitolea mfano kuwa kama Tanzania itakuwa na program ya Maendeleo kwenye sera ya kilimo, Sekritarieti itafanya kazi ya pamoja na Serikali ya Tanzania ili kuweza kuunganisha sera hiyo kwa nchi zingine 16 za ukanda huo wa afrika.
  • Alisema kuwa katika kutekeleza sera ya Maendeleo SADC, Sekritarieti hiyo inafanya kazi kwenye maeneo mengi yakiwemo, kuimarisha kilimo na uzalishaji wa mazo ya chakula, kuimarisha eneo la kutangaza biashara na kuwaunganisha wananchi kwenye nchi 16 za SADC ili kuweza kupata soko la watu zaidi ya milioni 300.
  • “Tunatakiwa kuwa na uwezo wa kutangaza na kuwahamasisha wananchi katika nchi wanachama wa SADC kuzalisha na kuchangamkia soko la zaidi ya watu 300 na hii ndiyo kazi yetu kama Sekritarieti na tutazidi kutangaza, kuboresha na kuhamasisha biashara miongoni mwa nchi wanachama kwenye mazo ya kilimo na Mifugo, kwa  hiyo wananchi wanatakiwa kuzalisha  kulingana na soko la SADC litakavyokuwa”, Domingos Gove, SADC.
SD 1-01
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari-MAELEZO upande wa Usajili, Bi.Zamaradi Kawawa akiteta jambo na Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa SADC, Bi.Barbara Lopi katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Mkurugenzi wa Chakula, Kilimo na Maliasili kutoka Sekritarieti ya SADC, Damingos Dove ulifanyika katika Kituo cha Mikutano Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
  • Domingos aliongeza kuwa Sekritarieti hiyo inashughulikia pia  masuala ya usalama wa chakula pamoja na lishe bora kwa wananchi kutoka SADC, ili kuwezesha kuwepo na uchumi endelevu katika nchi 16 za Jumuiya hiyo, lengo kuu likiwa ni kuunganisha baadhi ya Sera za Utekelezaji miongoni mwa nchi wanachama.
  • Aidha, Domingos alisema kuwa Sekritarieti hiyo ina jukumu kubwa la kulinda maliasili zilizoko ukanda huo wa afrika na alitolea mfano kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika ulinzi wa maliasili ikiwemo wanyama pori.
  • “tunajivunia kuwa Serengeti na Kilimanjaro zipo kwenye Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Afrika SADC na zinawavutia watu wengi kutoka nchi mbalimbali duniani, tunafurahi kuona Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizofanikiwa  kwa kiasi kikubwa kwenye ulinzi wa Maliasili ikiwemo mbuga za wanyama Serengeti na Ruaha”, Alisema Domingos Gove, SADC.
  • Aidha, Sekretarieti hiyo inajukumu la kutekezaji katika  kuangalia mabadiliko ya nachi katika ukanda huo wa Afrika kwani hiyo imekuwa ni changamoto kubwa miongoni mwa nchi wanachama wa SADC.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 …

203 Maoni

  1. reputable indian online pharmacy: indian pharmacy paypal – top 10 online pharmacy in india
    http://indiapharmast.com/# buy prescription drugs from india
    mexico drug stores pharmacies medicine in mexico pharmacies medication from mexico pharmacy

  2. https://foruspharma.com/# mexican mail order pharmacies

  3. best canadian online pharmacy: legitimate canadian online pharmacies – canadian world pharmacy

  4. how to buy amoxycillin: where can i buy amoxicillin over the counter – how to get amoxicillin

  5. cost of amoxicillin: amoxicillin 500mg pill – over the counter amoxicillin
    http://ciprodelivery.pro/# cipro online no prescription in the usa

  6. doxycycline 100mg cost: purchase doxycycline online uk – order doxycycline without prescription

  7. https://paxloviddelivery.pro/# paxlovid pharmacy
    paxlovid generic paxlovid generic paxlovid covid

  8. clomid otc: cost cheap clomid without insurance – cost of clomid without insurance
    http://amoxildelivery.pro/# over the counter amoxicillin canada

  9. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 110 mg
    amoxicillin 500 mg purchase without prescription buy cheap amoxicillin online price for amoxicillin 875 mg

  10. where can you buy amoxicillin over the counter: generic amoxil 500 mg – amoxicillin in india
    http://clomiddelivery.pro/# where to get cheap clomid
    п»їpaxlovid paxlovid india paxlovid pharmacy

  11. Paxlovid over the counter: п»їpaxlovid – paxlovid india
    https://clomiddelivery.pro/# clomid for sale
    ciprofloxacin generic where can i buy cipro online where can i buy cipro online

  12. order amoxicillin online: where to buy amoxicillin – purchase amoxicillin online
    https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 400 mg price

  13. https://ciprodelivery.pro/# cipro pharmacy
    doxycycline otc drug where can i get doxycycline doxycycline prescription

  14. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  15. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  16. paxlovid covid: Paxlovid over the counter – paxlovid price

  17. can i get cheap clomid no prescription: where to buy generic clomid pill – buying cheap clomid online

  18. can you get generic clomid without dr prescription: how can i get clomid – get cheap clomid
    http://clomiddelivery.pro/# how to get cheap clomid for sale

  19. http://amoxildelivery.pro/# amoxacillian without a percription
    amoxicillin 50 mg tablets amoxicillin script cost of amoxicillin 30 capsules

  20. where to buy amoxicillin 500mg: buy amoxicillin online uk – buy amoxicillin 500mg
    http://clomiddelivery.pro/# where can i get cheap clomid pill
    get cheap clomid without insurance can i order cheap clomid without a prescription get clomid without rx

  21. medicine amoxicillin 500mg: amoxicillin without rx – amoxicillin 875 125 mg tab
    http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid generic
    ciprofloxacin 500 mg tablet price ciprofloxacin cipro ciprofloxacin

  22. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  23. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  24. https://clomiddelivery.pro/# can you get clomid for sale
    amoxicillin 500mg without prescription amoxicillin 500 mg without prescription amoxicillin capsules 250mg

  25. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  26. paxlovid for sale: paxlovid buy – paxlovid pharmacy
    http://doxycyclinedelivery.pro/# 200 mg doxycycline

  27. https://doxycyclinedelivery.pro/# order doxycycline canada
    paxlovid india paxlovid pharmacy п»їpaxlovid

  28. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  29. современный дизайн интерьера гостиной кухня гостиная дизайн интерьер

  30. п»їcipro generic: buy ciprofloxacin – buy ciprofloxacin over the counter
    https://ciprodelivery.pro/# buy ciprofloxacin over the counter
    buy doxycycline 200 mg doxycycline 100mg capsule sale doxycycline no prescription best prices

  31. ciprofloxacin 500 mg tablet price: buy ciprofloxacin – ciprofloxacin
    https://doxycyclinedelivery.pro/# Website
    paxlovid india paxlovid cost without insurance buy paxlovid online

  32. ciprofloxacin 500mg buy online: buy ciprofloxacin – cipro for sale
    http://clomiddelivery.pro/# can i get clomid online

  33. https://ciprodelivery.pro/# buy cipro
    buy cipro online canada antibiotics cipro buy cipro cheap

  34. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  35. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  36. where can i buy clomid prices: where to get clomid no prescription – buy cheap clomid without dr prescription
    http://clomiddelivery.pro/# cost of clomid for sale

  37. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 50 mg price australia
    paxlovid india paxlovid price paxlovid pill

  38. doxycycline online without prescription: doxycycline tablets online india – order doxycycline online canada
    http://paxloviddelivery.pro/# paxlovid covid
    cipro ciprofloxacin cipro cipro pharmacy

  39. doxycycline 100mg tablet brand name: doxycycline 60 mg – buy doxycycline 100mg canada
    http://paxloviddelivery.pro/# Paxlovid over the counter
    buy cipro online without prescription ciprofloxacin generic price where can i buy cipro online

  40. doxycycline antibiotics: doxycycline 100mg otc – where can i get doxycycline online
    http://paxloviddelivery.pro/# Paxlovid buy online

  41. Paxlovid over the counter: п»їpaxlovid – paxlovid pill

  42. paxlovid pharmacy: paxlovid generic – paxlovid buy

  43. https://paxloviddelivery.pro/# Paxlovid buy online
    buy paxlovid online Paxlovid buy online paxlovid pharmacy

  44. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  45. https://doxycyclinedelivery.pro/# doxycycline 150 mg cost comparison

  46. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *