RAIS MSTAAFU MKAPA AONGOZA MHADHARA WA SADC CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

PHOTO-2019-08-15-12-31-57
#39SADCSummit
PHOTO-2019-08-15-12-31-58
#39SADCSummit
PHOTO-2019-08-15-12-32-48
 #39SADCSummit
PHOTO-2019-08-15-12-42-39
Washiriki wakifatilia Mhadhara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019. #39SADCSummit
PHOTO-2019-08-15-12-56-43
Rais Mstaafu Benjamini Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akiwa katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019
PHOTO-2019-08-15-13-16-45
Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.
PHOTO-2019-08-15-13-18-36
Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Benjamini William Mkapa akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.
PHOTO-2019-08-15-13-21-06
Washioriki wakifatilia Mhadhara katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.
PHOTO-2019-08-15-13-21-14
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akihutubia katika mhadhara uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) uliokuwa ukizungumzia historia ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), mapema leo Agosti 15, 2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKATIBU WAKUU SMT NA SMZ WAKUTANA ZANZIBAR

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *