RAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

MK 1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Meneja wa Kitengo cha Sayansi Jinai, Biolojia na Vinasaba Bi. Hadija Saidi Mwema alipotembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam leo Agosti 20, 2019
MK 2-01

MK 3-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wagonjjwa na wafanyakazi katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road wakati akitembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam leo Agosti 20, 2019
MK 4-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitembezwa kukagua sehemu mbali mbali za Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam alipotembekea leo Agosti 20, 2019
MK 5-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Bw. Kagera Zacharia Ng’weshemi juu ya uendeshaji wa mashine ya kisasa ya kuchambulia na kugundua vinasaba vya aina mbalimbali ikiwemo dawa za kulevya alipotembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam leo Agosti 20, 2019. Mashine hiyo za aina hiyo katika Afrika zipo Tanzania, Afrika Kusini na Madagascar pekee.
MK 10-01
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ukiondoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam ambako Mhe Rais alitembelea leo Agosti 20, 2019.
MK 8-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam alipotembelea leo Agosti 20, 2019.
MK 7-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam alipotembelea leo Agosti 20, 2019.
MK 6-01
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza kwa kazi nzuri viongozi wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Mkowa wa Dar es salaam wakati wa Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi za SADC wakati akiwa anaondoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es salaam alikotembelea leo Agosti 20, 2019.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WIZARA YA AFYA YAKABIDHIWA HOSPITALI YA MKOA YA MAWENI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imekabidhiwa rasmi hospitali ya rufaa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *