- Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imezindua awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule maalum kwa watoto wa kike inayosimamiwa na Masisita wa Maria inayoongozwa na Baba Askofu Msataafu Polycarp Cardinal Pengo.
- Shule ya Sister Mary ni ya kwanza wa aina yake Afrika ambayo inatoa elimu kwa watoto wa kike kusoma masomo ya darasani na kupata fursa ya kusoma masomo mbalimbali ya ufundi ambapo ndani ya miezi mitatu ya shule imepokea wanafunzi 153
Ad