LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE TANZANIA BARA. IKULU DSM

  • Rais Dkt. john Pombe Maguduli anakutana na kuzunguma na Watendaji wa Kata kuotka katika Mamlaka ya Serikali za kata zote Tanzania Bara katika Bustani za Ukumbi wa Kikwete Ikulu JijininmDar es salaam ikiwa ni kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru kushuhudia Watendaji wa Kata wakiingia Ikulu kwaajili ya kuzungumza na Mhe. Rais.

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.