RAIS MAGUFULI NA RAIS MUSEVENI WASHIRIKI KONGAMANO LA KIBIASHARA LA TZ NA UG Matokeo ChanyA+ September 6, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 749 Imeonekana Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Rias wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wapili toka kulia na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Rias wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akifurahi jambo na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Rias wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akisalimiana na Mke wa Rais wa Uganda Mama Janet Museveni katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Waziri wa Madini Dotto Biteko akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo Omari Mgumba, pembeni ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwa na mmoja wa washiriki katika Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Kongamano la Kibiashara kati ya Tanzania na Uganda lilofanyika katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es salaam. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest