RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA PIPE INDUSTRIES ENEO LA VINGUNGUTI JIJINI DAR ES SALAAM Matokeo ChanyA+ September 16, 2019 IKULU, MAWASILIANO IKULU, Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,377 Imeonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya kazi za uzalishaji za Pipe Industries Co. Limited akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Wakurugenzi Wakuu wa kiwanda hicho Bw,. Seif A. Seif na Nassor A. Seif pamoja na viongozi na wadau wengine pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kiwanda chao cha kutengeneza mipira na mabomba ya plastiki eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam Septemba 16. 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Wakurugenzi Wakuu wa Pipe Industries Co. Limited Bw,. Seif a, Seif na Nassor A. Seif baada ya kufunua pazia kuashiria kufunguliwa rasmi kwa kiwanda chao cha kutengeneza mipira na mabomba ya plastiki eneo la Vingunguti jijini Dar es salaam Septemba 16. 2019 Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest