Maktaba ya Kila Siku: September 23, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFAFANUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS DKT. MAGUFULI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUPATA UFUMBUZI WA MIGOGORO YA MATUMIZI YA ARDHI NCHINI

Serikali imeridhia kufuta mapori tengefu 12 yenye ukubwa wa ekari 707,659.94 ambayo yamepoteza sifa na imeamua yagawiwe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo. Uamuzi huo umefikiwa (Jumatatu, Septemba 23, 2019) kweye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; …

Soma zaidi »