- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli anapokea taarifa ya utekelezaji wa Ushauri alioutoa wa kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu Uchumi walio tayari kutubu na kurejesha Fedha na Mali. Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga anawasilisha taarifa ya utekelezaji huo kwa Mhe.Rais Ikulu Jijini Dar es salaam.Septemba 30,2019
Ad