Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akitoa maelekezo kwa Mhandisi George Mmpini wa kampuni ya V. J. Mistry (wa pili kulia) wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghati ya Nyemirembe wilayani Chato moani GeitaNaibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (wa kwanza kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa ghati ya Nyemirembe iliyopo wilayani Chato mkoani Geita