Wizara ya Nishati (Tanzania) na Shirika la Maendeleo la Japani (JICA), Oktoba 17, 2019 walikutana katika ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma na kujadili Mkakati wa kufikisha gesi asilia katika mikoa mbalimbali nchini. Kikao hicho, kilichoongozwa na Kamishna wa Petroli na Gesi, Adam Zuberi, kilihudhuriwa pia …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 18, 2019
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA KIWALALA KATIKA HALMASHAURI YA MTAMA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AKAGUA MAANDALIZI YA OFISI ZA MUDA ZA HALMASHAURI YA MTAMA
WATOTO MILIONI 8 KUPATIWA CHANJO YA SURUA-RUBELLA
Inakadiriwa watoto wapatao 8,028,838 wenye umri wa miezi tisa hadi umri wa chini ya miaka mitano (miezi 59) wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua-Rubella kwenye kampeni shirikishi ya chanjo itakayotolewa nchi nzima. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoro Ummy Mwalimu wakati akizindua kampeni …
Soma zaidi »