Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kuokoa kiasi cha shilingi Bilioni 10.08 kutokana na kaguzi za gharama na mapato ya mikataba ya Mafuta na Gesi Asilia nchini (PSAs). Pongezi hizo wamezitoa tarehe 25 Oktoba, 2019 …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 25, 2019
NCHI WANACHAMA ZA SADC WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU VIKWAZO VYA KIUCHUMI KWA NCHI YA ZIMBABWE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefungua mkutano wa Mawaziri wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya SADC wa sekta ya Utalii,Maliasili na Mazingira katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa AICC Jijini Arusha. Akifungua mkutano huo Makamu wa Rais amesema kuwa katika mkutano wa …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI NCHINI AZERBAIJAN
Waziri Mkuu Kassim Majaliwwa ameutaka ubalozi wa Tanzania nchini Urusi uratibu mipango ya wafanyabiashara wa Urusi wanaokusudia kuja nchini kuwekeza kwa kuwaunganisha na Taasisi na Wizara husika ili waweze kuwekeza mitaji yao kwa kuzingatia maslahi ya Taifa. Ametoa agizo hilo jana (Alhamisi, Oktoba 24, 2019) baada ya kugundua uwepo wa …
Soma zaidi »