Mwanariadha Private Alphonce Simbu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi-JWTZ amejinyakulia Medali ya Fedha(Silver)baada ya kukimbia KM 42 kwa muda wa saa 2:11:16 na kuwashinda wengine zaidi ya 90 katika mashindano ya mbio ndefu ya Majeshi ya Dunia yaliyofanyika jijini Wuhan ChinaMwanariadha Private Alphonce Simbu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi-JWTZ amejinyakulia Medali ya Fedha(Silver)baada ya kukimbia KM 42 kwa muda wa saa 2:11:16 na kuwashinda wengine zaidi ya 90 katika mashindano ya mbio ndefu ya Majeshi ya Dunia yaliyofanyika jijini Wuhan China