Maktaba ya Kila Siku: November 4, 2019

MAAMBUKIZI YA VVU YAMEPUNGUA KWA WATU WAZIMA KWA ASILIMIA 20.6 NA ASILIMIA 31.3 KWA WATOTO WALIO CHINI YA MIAKA 15 – DKT CHAULA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Zainab Chaula leo amefungua Mkutano wa Makatibu Wakuu wa afya wa  nchin wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambapo amesema mkutano huo utapitia  ajenda kuu 13 za mkutano zitakazojadiliwa kwenye mkutano wa Mawaziri wa Afya wa nchi za SADC. Akizungumza Dkt …

Soma zaidi »

WAKAZI WA KIGWA KUPATA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA KWA GHARAMA YA BILIONI 10

Serikali imeamua kupeleka maji katika Kata ya Kigwa wilayani Uyui kupitia mradi wa ujenzi wa bomba la maji kutoka Ziwa Victoria kwa gharama isiyopungua shilingi bilioni 10. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa baada ya kusikia kilio cha wakazi wa Kigwa cha tatizo la maji …

Soma zaidi »

TAKWIMU RASMI ZATAJWA KUCHOCHEA UFANISI WA MIRADI

Serikali ya Awamu ya Tano imetajwa kufanikiwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutokana na matumizi bora ya takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Akizungumza leo Jijini Dodoma, Mtakwimu mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa amesema kuwa Ofisi hiyo imefanikiwa kuzalisha takwimu zenye ubora wa viwango vinavyokubalika …

Soma zaidi »

MKUCHIKA: KILA MMOJA ANA JUKUMU LA KUPAMBANA NA RUSHWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utwala Bora, Kapteni, George Mkuchika amewataka wananchi kuiunga mkono Serikali katika kupambana na Rushwa ili kupunguza ajali za barabarani pamoja na kuwezesha upatikanaji wa haki kwa wananchi. Akizungumza katika uzinduzi wa Kampeni ya kuzuai rushwa barabarani Waziri Mkuchika amasema kuwa katika kampeni …

Soma zaidi »