Alisema Tore Linné Eriksen, msomi na mwanaharakati wa Norway.

“Jukumu lililochukuliwa na Julius Nyerere na Kenneth Kaunda halipaswi kupuuzwa. Nyerere alikuwa maarufu sana katika nchi za Scandinavia. Na alikuwa anazungumza wazi pale lilipohusu Kusini mwa Afrika, na kila wakati alikuwa akizungumza, wakati alipotembelea Norway, nchi yake haikujiona huru kama Afrika Kusini haikuwa huru. Na Kaunda, ambaye pia alikuwa akiheshimiwa sana nchini Norway, alisimama kidete, na alijitolea kwa uzito sana. Na ingawa ukweli ni kwamba msaada toka kwa  wanorwey ulipitia Zambia na Tanzania haikuwa tu kwa bahati. Ninadhani Nyerere na Kaunda waliweka shinikizo katika serikali ya Nordic. “

Tore Linné Eriksen, msomi na mwanaharakati wa Norway.

Norway 1.jpeg

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.