Maktaba ya Kila Siku: November 8, 2019

RAIS MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO WA 18 WA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NORDIC NA AFRIKA

Rais Dkt. John Magufuli amezishukuru nchi za Nordic kwa uhusiano na ushirikiano wake mzuri na nchi za Afrika ikiwemo Tanzania na ametoa wito kwa nchi hizo kujielekeza zaidi katika ushirikiano wa kiuchumi. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 08 Novemba, 2019 alipohutubia Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo …

Soma zaidi »

GESI TULIYONAYO LAZIMA ITUMIKE KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA – DKT KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema mpango wa serikali wa miaka 30 wa matumizi sahihi ya rasilimali za gesi na mafuta, pamoja na mambo mengine, umelenga kuhakikisha gesi inatumika kujenga uchumi wa viwanda. Akizungumza katika ufunguzi wa Jukwaa la Tisa la Uziduaji, Novemba 6, mwaka huu jijini Dodoma, Dkt …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI: SISI TUNAUWEZO, FURSA NA MAZINGIRA YA KUINGIA KWENYE USHIRIKIANO MADHUBUTI WA KIUCHUMI

Mustakabali wa Taifa letu hauwezi kuwa na maana sana, endapo taifa letu litaendelea kuwa tegemezi kiuchumi. Pamoja na uhusiano mzuri na mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Nordic, bado tuna fursa ya kuukuza uhusiano wetu na kuupa msukumo mpya ili kuleta manufaa makubwa zaidi kwa …

Soma zaidi »

Mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na Nordic (Afrika 29 na 5 za Nordic)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amefungua Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa JNICC. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu. Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiaano wa Kimataifa Profesa Palamagamba …

Soma zaidi »