Maktaba ya Kila Siku: November 13, 2019

MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE, MAWAZIRI WA ULINZI WA SADC WAKUTANA KUJADILI HALI YA AMANI DRC

Mawaziri wa Mambo ya nchi za Nje pamoja na Mawaziri wa Ulinzi na vyombo vya ulinzi  vya Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) ijulikanao kama DOUBLE TROIKA wamekutana kwa dharura kujadili hali ya kisasa na amani katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ili kuweka mikakati ya kuendelea kuimarisha amani …

Soma zaidi »

WANANCHI LIPENI KODI YA MAJENGO, VIWANGO VIMEPUNGUZWA – TRA

Wito umetolewa kwa wananchi kulipa kodi ya majengo kwa kuwa viwango vilivyopangwa katika kodi hiyo ni rafiki na vinalipika kwa urahisi ukilinganisha na hapo awali. Wito huo umetolewa na Afisa Kodi Mkuu, Julius Mjenga kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa Kampeni ya Usajili, Huduma na Elimu kwa Mlipakodi …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YATOA MAONI KUHUSU MKATABA WA UMEME JUA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wametoa maoni mbalimbali kwa Wizara ya Nishati, kuhusu kuanzishwa kwa ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA). Walitoa maoni hayo Dodoma, Novemba 12, 2019 wakiwa ni sehemu ya wadau wa sekta husika ili kuboresha Mkataba huo kabla haujawasilishwa …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WAFUGAJI KUWEKA UZIO ILI KUEPUSHA MIGOGORO NA WAKULIMA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ameagiza wafugaji wote wanaomiliki maeneo yenye hati kuweka uzio katika maeneo yao ili kuepuka mifugo yao kwenda maeneo ya wakulima na kusisitiza kufanyika ufugaji wa kisasa. Lukuvi alitoa agizo hilo wilayani Kilosa mkoani Morogoro wakati akizungumza na uongozi wa wilaya ya Kilosa …

Soma zaidi »