Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela amewataka watumishi wa Umma kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya utumishi, Uadilifu, utiifu, weledi, taratibu na sheria za kazi katika kutumiza majukumu yao kila siku. Shigela alisema hayo, Novemba 14, 2019 kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Utumishi, Dkt. Laurian Ndumbaro, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: November 15, 2019
TANZANIA NA ANGOLA ZAJADILI USHIRIKIANO KATIKA MAFUTA NA GESI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amekutana na Balozi wa Angola nchini Tanzania, Sandro De Oliveira na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano katika utafiti wa Mafuta na Gesi pamoja na ununuzi wa mafuta. Mazungumzo kuhusu ushirikiano huo yalifanyika tarehe 14/11/2019 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Kaimu Kamishna wa Petroli na Gesi, …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO WA KUDHIBITI MAGONJWA YASIYO AMBUKIZIKA
SERIKALI YAOKOA ZAIDI YA SH. BILION 89 KWA WAGONJWA 5954 WALIOFANYIWA UPASUAJI WA KUFUNGUA NA BILA KUFUNGUA KIFUA KATIKA TAASISI YA MOYO (JKCI)
Kwa kipindi cha miaka minne Serikali imeweza kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 89 kwa wagonjwa 5954 wenye matatizo makubwa ya moyo ambao walifanyiwa upasuaji wa kufungua na bila kufungua kifua katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Kama wagonjwa hawa 5954 waliofanyiwa upasuaji hapa nchini wangetibiwa nje ya nchi Serikali …
Soma zaidi »LIVE: WAZIRI MKUU MAJALIWA KATIKA KONGAMANO LA SANAA LA MWALIMU NYERERE (MWALIMU NYERERE ARTS FESTIVAL)
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linalofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaaam.
Soma zaidi »BUNGE LARIDHIA MKATABA WA UANZISHWAJI USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA NISHATI JUA
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA), katika Mkutano wake wa Kumi na Saba, Novemba 14, 2019 Dodoma. Awali, akiwasilisha Azimio la Bunge kwa ajili ya kuridhia Mkataba huo, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani alieleza kuwa …
Soma zaidi »