WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO WA KUDHIBITI MAGONJWA YASIYO AMBUKIZIKA

5-1-01
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya Tanzania Bwana Benedikti Konga. wakati alipotembelea maonyesho ya uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma l Novemba 14,2019.
1-01
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi baada ya kuzindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo.
2-01
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma leo. Novemba 14/2019 . Wengine kutoka kulia, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dkt. Teguest Mengtsu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, John Malecela na Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii, Peter Serukamba.
3-01
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipongezana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa mpango wa Taifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa yasiyoambukiza katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma  Novemba 14/2019.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *