DOKTA MPANGO AIOMBA AfDB KUJENGA BARABARA NJIA NNE MOROGORO HADI DODOMA

  • Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo
  • Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo anayewakilisha nchi nane za ukanda wa Afrika Mashariki Bw. Amos Cheptoo.
f1-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akimuomba Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Bw. Cheptoo Amos Kipronoh (hayupo pichani) kuweka katika vipaumbele vya Benki hiyo kwa Tanzania kuhusu ujenzi wa Barabara ya Morogoro Dodoma yenye upana wa njia nne, kulia ni Kamishna Msaidizi wa Bajeti Bw. Emmanuel Tutuba.
  • “Barabara hii ilijengwa muda mrefu miaka ya 80, malori mengi yanapita hapa kwenda Mwanza, Kigoma na nje ya nchi ikiwemo Burundi, Rwanda, na unaona kabisa imeelemewa na imeanza kuharibika” Alisema Dkt. Mpango
  • Alisema amemwomba Mkurugenzi Mtendaji huyo wa AfDB waanze kuliweka jambo hili kwenye miradi itakayogharimiwa na Benki hiyo baadae ili barabara hiyo itakayo kuwa na uwezo wa kuelekeza magari mawili kwenda upande mmoja na mengine mawili kupita upande mwingine iweze kujengwa.
  • “Baada ya Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi, tunahitaji usafirishaji kwa njia ya barabara uwe na tija zaidi, uende haraka zaidi lakini pia kupunguza ajali. Hivi sasa kuna ajali nyingi sana kwa sababu magari yanayokwenda Dar es Salaam na yanayokuja Dodoma au kwenda Mwanza yanapishana kwenye haka kanjia kamoja” alisisitiza Dkt. Mpango
f3-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa nne kulia), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Bw. Amos Cheptoo, (wa nne kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa waandamizi wa Wizara hiyo na Benki ya AfDB , Jijini Dodoma.
  • Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji huyo wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Afrika Bw. Amos Cheptoo aliyeko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili, alisema Benki yake itahakikisha Tanzania inapata mikopo ya miradi yake ya kimkakati na ya kipaumbele ukiwemo huo wa barabara ya Morogoro hadi Dodoma.
  • Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Bw. Cheptoo Amos Kipronoh, ameitaka Sekta Binafsi nchini Tanzania kuchangamkia fursa za mikopo nafuu zilizopo katika Benki hiyo.
  • Bw. Kipronoh alisema kuwa Sekta Binafsi nchini Tanzania ina nafasi nzuri ya kupata mikopo na utaalam utakaoiwezesha kujikwamua kiuchumi kwa lengo la kutokomeza umasikini katika Bara la Afrika.
f4-01
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Bw. Amos Cheptoo, wakiwa katika Mkutano Jijini Dodoma.
  • “Sekta Binafsi hapa Tanzania haijatumia vizuri dirisha la mikopo ya Sekta hiyo ikilinganishwa nan chi nyingine za ukanda huu wa Afrika na ninakuomba Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango uihamasishe Sekta Binafsi ikope fedha hizo ili kukuza mitaji yao na kuongeza tija” alisema Bw. Cheptoo
  • Aidha, alisema kuwa Benki ya AfDB ipo katika hatua za mwisho za kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma na tayari benki hiyo imetoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara za mzunguko mjini Dodoma pamoja na miradi mipya ya kuzalisha Nishati ya umeme ambayo iko mbioni kuwasilishwa katika vikao vya Bodi ya Benki hiyo hivi karibuni.
  • Mkurugenzi huyo amempongeza Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kuwa kiongozi mwenye maono ambaye amesaidia katika mabadiliko makubwa ya  uchumi na kuzitaka nchi nyingine barani Afrika kujifunza kutoka Tanzania.
f2-01
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika- AfDB, Bw. Cheptoo Amos Kipronoh, akieleza nia ya Benki yake ya kusaidia miradi mbalimbali ya maendeleo ukiwemo ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Msalato Jijini Dodoma, wakati wa Mkutano na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), Jijini Dodoma. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha na Mipango)
  • “Nilipotua nimeona jengo la abiria la III katika Uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Julius Nyerere, daraja la juu la Mfugale na ujenzi wa Reli ya Kisasa unaoendelea kwa kasi, miundombinu ambayo miaka miwili iliyopita sikuikuta nilipotembelea hapa nchini” alisema Bw. Cheptoo.
  • Aidha, amempongeza Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango kwa kusimamia na kuhakikisha uchumi unaendelea kuwa imara ikiwa ni moja ya lengo la Benki hiyo katika jitihada za kuifanya Afrika kuwa na uchumi imara.
  • Kwa upande Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, amewataka watanzania kujivunia hatua za maendeleo zinazoonekana kwa kuwa hata wageni wanaona mabadiliko makubwa ya kiuchumi nchini.
  • Ameishukuru Benki ya AfDB kwa kukubali kufadhili miradi ya barabara za mzunguko Jijini Dodoma na pia miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inaajiri watu wengi, huku akibainisha kuwa kwa kipindi cha miaka minne miradi mbalimbali imetekelezwa kwa msaada wa AfDB na kuifanya Tanzania kukua kwa kasi kiuchumi.
  • Dkt. Mpango amewataka watendaji wa Wizara yake kuhakikisha wanawakutanisha viongozi wa Sekta Binafsi na Watendaji hao wa AfDB kabla ya kumaliza ziara yao nchini, ili kufanya mazungumzo yatakayosaidia kutumia fursa zilizopo katika Benki hiyo.
  • Aidha, Dkt. Mpango amewataka watanzania wenye vigezo kuchangamkia nafasi mbalimbali za kazi zinazotangazwa katika Benki hiyo ili kuongeza uwakilishi wa wananchi hasa kutoka Afrika Mashariki, ikizingatiwa nafasi zinazotangazwa ni za ushindani.
  • Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB imefadhili miradi 23 hapa nchini ikiwemo miradi 21 ya umma na miwili ya Sekta Binafsi, katika Nyanja za Nishati, miundombinu ya barabara, usafiri, kilimo, maji na usafi wa mazingira, yote kwa pamoja ikiwa na thamani ya dola za Marekani bilioni 2 nuta 1.Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Ad

Unaweza kuangalia pia

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo …

145 Maoni

  1. Woh I enjoy your content , saved to bookmarks!

  2. Romelu Lukaku https://chelsea.romelu-lukaku-cz.com, one of the best strikers in Europe, returns to Chelsea to continue climbing to the top of the football Olympus.

  3. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

  4. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  5. Young Briton Lando Norris https://mclaren.lando-norris.cz is at the heart of McLaren’s Formula 1 renaissance, regularly achieving podium finishes and winning.

  6. Hey, I simply hopped over to your website by way of StumbleUpon. No longer one thing I’d normally learn, but I preferred your thoughts none the less. Thanks for making one thing worth reading.

  7. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  8. I’ve thought about posting something about this before. Good job! Can I use part of your post in my blog?

  9. Get the latest https://mesut-ozil-uz.com Mesut Ozil news, stats, photos and more.

  10. Официальный сайт онлайн-казино Vavada https://vavada-kz-game.kz это новый адрес лучших слотов и джекпотов. Ознакомьтесь с бонусами и играйте на реальные деньги из Казахстана.

  11. I just added your web site to my blogroll, I hope you would look at doing the same.

  12. Howdy, a helpful article for sure. Thank you.

  13. Прокат и аренда автомобилей https://autorent.by в Минске 2019-2022. Сутки от 35 руб.

  14. Latest news and information about Marcelo https://marselo-uz.com on this site! Find Marcelo’s biography, career, game stats and more.

  15. Explore the dynamic world of sports https://noticias-esportivas-br.org through the lens of a sports reporter. Your source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of all sports.

  16. Vinicius Junior https://vinicius-junior.org all the latest current and latest news for today about the player of the 2024 season

  17. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  18. Discover Pierre Gasly’s https://alpine.pierre-gasly.com journey through the world of Formula 1, from his beginnings with Toro Rosso to his extraordinary achievements with Alpine.

  19. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  20. The story of the great Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobe-bryant-fr.com with ” Los Angeles Lakers: his path to the championship, his legendary achievements.

  21. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  22. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  23. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  24. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  25. I am glad to be a visitor of this thoroughgoing web blog ! , regards for this rare information! .

  26. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  27. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  28. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  29. Ousmane Dembele’s https://paris-saint-germain.ousmanedembele-br.com rise from promising talent to key player for French football giants Paris Saint-Germain. An exciting success story.

  30. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  31. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  32. Bieber’s https://baby.justinbieber-br.com path to global fame began with his breakthrough success Baby, which became his signature song and one of the most popular music videos of all time.

  33. Ayrton Senna https://mclaren.ayrtonsenna-br.com is one of the greatest drivers in the history of Formula 1.

  34. Andreson Souza Conceicao https://al-nassr.talisca-ar.com known as Talisca, is one of the brightest stars of modern football.

  35. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  36. I like to spend my free time by scanning various internet resources. Today I came across your website and I found it has some of the most practical and helpful information I’ve seen.

  37. It’s clear you’re passionate about the issues.

  38. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  39. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  40. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  41. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  42. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  43. Do you have a spam problem on this site; I also am a blogger, and I was wondering your situation; we have developed some nice practices and we are looking to exchange techniques with other folks, why not shoot me an e-mail if interested.
    регистрация Twin Casino

  44. An impressive share! I’ve just forwarded this onto a coworker who had been conducting a little homework on this. And he in fact ordered me lunch due to the fact that I found it for him… lol. So let me reword this…. Thank YOU for the meal!! But yeah, thanx for spending time to discuss this matter here on your blog.

    накрутка пф конкурентов

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *