Maktaba ya Kila Siku: November 20, 2019

KITUO CHA GESI ASILIA CHA SONGAS CHATAKIWA KUWASILISHA MPANGO KAZI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima ameagiza kituo cha kupokea gesi asilia cha Songas eneo la Somanga kuwasilisha mpango kazi wa usimamizi wa mazingira unaoonesha madhara na hatua zinazochukuliwa pindi yanapotokea maafa. Sima alitoa agizo hilo jana wakati wa ziara yake akiwa ameambatana na …

Soma zaidi »

WATAALAMU WA NCHI WANACHAMA SADC KUJADILI MIKAKATI YA KUBORESHA SEKTA YA KAZI NA AJIRA

Wataalamu wa Sekta ya Kazi na Ajira kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika wamedhamiria kuboresha na kuendeleza sekta ya kazi na ajira kwa kutatua changamoto zilizopo katika sekta hiyo. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye …

Soma zaidi »