WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA KIWANDA CHA NYANZA BOTTLING, KILICHOPO JIJINI MWANZA Matokeo ChanyA+ December 10, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu Acha maoni 1,468 Imeonekana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mitambo ya kuzalisha soda, katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe kuzindua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifungua upanuzi wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia soda, inayozalishwa katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, kabla ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia soda, inayozalishwa katika kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, kabla ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kuzalisha mvuke unaotumika katika uzalishaji, kwenye kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua ghala la kuhifadhia soda, katiak kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest