Maktaba ya Kila Siku: December 12, 2019

DC CHONGOLO AZINDUA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS, AWEKA MKAKATI WA SOKO LA UHAKIKA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za ngozi, Wilaya hiyo imejipanga kuwatafutia maeneo wazalishaji wa ndani ambapo wote  watakaa sehemu moja kwa ajili ya uzalishaji na uuzaji  wa bidhaa hizo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa maonesho …

Soma zaidi »

ACHENI KULALAMIKA, TENGENI FEDHA KULIPIA UMEME – DKT KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka baadhi ya wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri za wilaya ambao wamekuwa wakilalamika kuwa taasisi za umma katika maeneo yao hazina umeme, waachane na malalamiko, badala yake watenge fedha za kulipia huduma hiyo ili wapatiwe umeme. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti Desemba 11, 2019 …

Soma zaidi »