Maktaba ya Kila Siku: December 13, 2019

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kukoa kiasi cha Tsh. Trilioni 12.7 kwa kutumia gesi asilia katika kuzalisha umeme badala ya kutumia fedha za kigeni kuagiza mafuta. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa Desemba 13, 2019) Jijini …

Soma zaidi »

MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3

Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe  13 Disemba 2019 wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa mara baada ya …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA MITAMBO YA GESI SONGONGO NA MNAZI BAY

Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, amefanya ziara ya kikazi katika mitambo ya kuzalisha, kuchakata na kusafirisha gesi asilia iliyopo kisiwani Songo Songo mkoani Lindi, na ile ya Madimba na Mnazi Bay Mkoani Mtwara kwa lengo la kukagua maendeleo ya uzalishaji na uchakataji wa Gesi Asilia katika maeneo …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA ATOA SIKU 23 SKIMU YA UMWAGILIAJI NANGANGA WILAYANI RUANGWA KUWA IMEKAMILIKA

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametoa siku 23 pekee kwa wakandarasi wanaojenga Skimu ya Umwagiliaji ya Nanganga wilayani Ruangwa kuwa wamekamilisha ujenzi wa mradi huo. Waziri Hasunga ametoa agizo hilo leo tarehe 12 Disemba 2019 la kukamilika kwa mradi huo wakati alipotembelea na kukagua skimu hiyo yenye hekta …

Soma zaidi »

UMEME UMEBADILI MAISHA YA WANA-RUVUMA – RC MNDEME

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameipongeza Serikali kwa kuunganisha umeme wa gridi ya Taifa mkoani humo, ambao umebadili hali ya maisha ya wananchi husika kutoka kwenye uduni na kuwa bora zaidi. Alikuwa akieleza hali ya upatikanaji umeme mkoani Ruvuma kwa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani na Ujumbe …

Soma zaidi »