Maktaba ya Kila Siku: December 22, 2019

MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU BANDARI YA KABWE MKOANI RUKWA WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 85

Ujenzi wa mradi wa miundombinu katika Bandari ya Kabwe mkoani Rukwa ambao unagharimu Sh.bilioni 7.498 tayari umekamilika kwa asilimia 85 na mkandarasi wa ujenzi huo ambaye ni Sumry’s Enterprises Ltd anatarajia kuukabidhi mradi huo Aprili mwaka 2020. Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Mradi wa gati ya Bandari ya Kabwe …

Soma zaidi »

MENEJA BANDARI ZA ZIWA TANGANYIKA AELEZEA UJENZI WA MIUNDOMBINU KATIKA BANDARI YA KIPILI, KIRANDO

Wafanyabishara kutoka nchini Congo watuma ujumbe kwa Rais Magufuli kuhusu ujirani mwema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) imesema kuwa ujenzi wa miundombinu katika bandari ya Kipili upo hatua za mwisho kukamilika ambapo awamu ya kwanza ya ujenzi imegharimu Sh.bilioni 4.356 na mradi wa pili katika bandari hiyo umehusisha ujenzi …

Soma zaidi »

WIZARA YA AFYA YATOA PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII MKOANI KATAVI

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametoa pikipiki 15 kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Kata za Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi na kusisitiza matumizi mazuri na yaliyokusudiwa ya pikipiki hizo. Akizungumza katika halfa ya ugawaji pikipiki hizo Waziri Ummy Mwalimu amewataka Maafisa …

Soma zaidi »