MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA VITUO VYA KISAYANSI PEMBA

2-01
Viongozi na Wananchi wa Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkuta wa Hadhara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo cha Ubunifu wa kisayansi kwa niaba ya vituo 22 vya Unguja na Pemba ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020 Katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
1 -01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan akipata maelezo Juu ya Ujenzi wa Vituo 22 vya Ubunifu wa kisayansi Katika Visiwa vya Unguja na Pemba baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kituo cha Ubunifu wa kisayansi pujini Chake Chake Pemba ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020 Katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
4 -01
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe. Hemedi Suleman Abdalla alipowasili Katika Uwanja wa Ndege Chake Chake Pemba leo Januari 06,2020 kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Kituo cha Ubunifu wa kisayansi kwa niaba ya vituo 22 vya Unguja na Pemba ikiwa ni moja ya shamra shamra ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kuadhimishwa tarehe 12 Januari 2020 Katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

LIVE: UZINDUZI WA MAJENGO YA OFISI YA MANISPAA NA MKUU WA WILAYA KIGAMBONI JIJINI DSM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *