WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI, HOTELI YA GOLDEN TULIP AIRPORT ZANZIBAR

1-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, Januari 4, 2020. Kutoka Julia ni Mwenyekiti wa Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar,Mohammed Raza, katikati ni Mkurugenzi wa hoteli hiyo, Hassan Mohammed Raza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2 -01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Jengo la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, baada ya kuweka jiwe la msingi la hoteli hiyo, Januari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3 -01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua Jengo la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, baada ya kuweka jiwe la msingi la hoteli hiyo, Januari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar, Mohammed Ramia , baada ya kuweka jiwe la msingi wa Jengo la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, Januari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi wa Jengo la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, Januari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi wa Jengo la Hoteli ya Golden Tulip Airport Zanzibar, Januari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI INATEKELEZA MPANGO KAZI WA BLUE PRINT ILI KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

Wadau wote kupitia vyama vyao waitwa kuleta mapendekezo ili kuboresha sekta zao ikiwa Serikali ipo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *