Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kufanya kazi kidijitali kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhandisi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 9, 2020
RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA DARAJA LA KIBONDE MZUNGU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ujenzi wa barabara na daraja la Kibonde Mzungu ni uthibitisho wa Mapinduzi kwani kabla ya Mapinduzi hapakuwepo madaraja na barabara nzuri kama zinazojengwa hivi sasa hapa Zanzibar. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba …
Soma zaidi »BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPOKEA MELI KUBWA YA UTALII ILIYOBEBA WATALII 600
Malengo ya Tanzania kufikisha Watalii Milioni mbili kwa mwaka yameanza kutimia, baada ya Watalii zaidi ya 600 kutoka mataifa mbalimbali duniani kuwasili nchini kwa ajili ya ya kufanya utalii katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam na Bagamoyo Mkoani Pwani. Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi (Januari 9, …
Soma zaidi »BODI YA USHAURI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO (MAB) KWA TMDA, YATEMBELEA OFISI YA TMDA KANDA YA ZIWA
Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(MAB) imefanya ziara maalum na kujionea mambo mbalimbali ya utendaji kazi katika ofisi ya Kanda ya Ziwa ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA). Katika ziara hiyo, Bodi hiyo imeweza kujionea utendaji kazi za udhibiti wa …
Soma zaidi »BARAZA LA MITIHANI (NECTA) LATANGAZA MATOKEO YA KITADO CHA NNE NA KIDATO CHA PILI MWAKA 2019
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kidato cha pili kwa mwaka 2019. 1.Matokeo Kidato cha NNE: BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 2.Matokeo Kidato cha PILI :BOFYA HAPA au BOFYA HAPA 3. Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT): BOFYA HAPA
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI IKULU ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi wa Umma, Maafisa na Wapiganaji wa Idara Maalum za SMZ na wananchi mbali mbali wenye sifa maalum. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA HATUA ZA UJENZI WA JENGO LA NEC DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametembelea na kukagua hatua ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo eneo la Njedenwa Jijini Dodoma na kusema ameridhishwa na hatua …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM AKITOKEA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Januari, 2020 amewasili Jijini Dar es Salaam akitokea nyumbani kwake Chato, Mkoani Geita. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli kesho ataanza ziara ya kikazi Visiwani Zanzibar ambako ataweka jiwe la msingi la jengo la Idara ya Usalama wa Taifa Zanzibar. …
Soma zaidi »ZOEZI LA USAJILI LA VITAMBULISHO VYA TAIFA LASHIKA KASI
NAIBU WAZIRI WA AFYA AWATAKA WAZAZI KUONGEA NA WATOTO WAO
Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, …
Soma zaidi »