NAIBU WAZIRI DKT. FAUSTINE NDUGULILE ATEMBELEA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII RUNGEMBA IRINGA

A-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa mkufunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba Bi. Mwajuma Yamlinga kilichopo mkoani Iringa kuhusu unga lishe unaotengenzwa na wanafunzi chuoni hapo wakati alipofanya ziara kujionea utendaji wa Chuo hicho.
B-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akioneshwa mti wa maparachichi na mmoja wa mkulima aliyefaidika na uhamaishaji wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba Mzee Mbedule wakati alipofanya ziara kujionea utendaji wa Chuo hicho
D-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (katikati) akisikiliza elimu ya lishe iliyokuwa ikitolewa kwa wananchi wa Kijiji cha kitelewasi na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba wa pili kulia ni Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba Bi. Santina Mbatta
E-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na wananchi wa Kijiji cha kitelewasi na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba mara baada ya kusiliza elimu ya lishe iliyokuwa ikitolewa na wanafunzi wa chuo hicho.
F-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba mara baada ya kutembelea miradi inayohamasishwa na chuo hicho kwa wananchi wa pili kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba Bi. Santina Mbatta.
H-01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akipokea zawadi ya gunia la mahindi lishe kutoka kwa wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba wakati alipofanya ziara kujionea utendaji wa Chuo hicho.
C -01
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akipanda mti wa maparachichi kwa ukumbusho wa kutembelea shamba la Mzee Mbedule (kushoto) aliyehamasishwa na Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba kupanda maparachichi wakati alipofanya ziara kujionea utendaji wa Chuo hicho.
G -01
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Rungemba wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile( hayupo pichani) wakati alipofanya ziara Chuoni hapo kujione utendaji wa kazi wa Chuo hicho.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.