Maktaba ya Kila Siku: January 9, 2020

TUSIFANYE SIASA NA AFYA ZA WANANCHI – SERUKAMBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya  Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba amesema suala la Afya za Watanzania sio suala la kufanyia siasa. Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni ya Uhamasishaji wa wananchi kujiunga na mpango wa vifurushi vipya vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AWATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUTOA ELIMU YA LISHE NCHINI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuweke mkazo kwa kutoa elimu ya lishe nchini hasa katika shule za misingi na Sekondari nchini ili kuondokana na tatizo la udumavu na utapiamlo Ameyasema hayo  mkoani Iringa alipotembela Shule ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 8.7 KUTOKA KWA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA

Serikali imepokea gawio na michango ya Sh. bilioni 8.7 kutoka kwa baadhi ya Mashirika, Kampuni na Taasisi za Umma, ikiwa zimebaki siku 15 kati ya siku 60 zilizotolewa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, za kuzitaka Taasisi, Kampuni na Mashirika hayo kutoa gawio kwa Serikali. Gawio hilo limepokelewa na …

Soma zaidi »